Mbunge wa Jimbo la Mbozi kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Pascal Y Haonga. Amesema hanunuliki na yuko imara katika Jimbo lake na amejipanga vyema na uchguzi mkuu mwakani , Mh Haonga ametoa kauli hiyo jana alipokua akihutubia Wananchi wa Mji mdogo wa Mlowo.
Lakini pia, alitumia nafasi hiyo kumpongeza mkuu wa mkoa mpya wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus E. Mwangela kwa kumpa Ushirikiano katika kutumikia Wananchi.
| Mbunge wa jimbo la Mbozi kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mh. Pascal Y Haonga akihutubia Wakazi wa Mji Mdogo wa Mlowo. (picha na Amidu Mtalii) |
No comments:
Post a Comment